Naomba ufafanuzi kuhusu suala la ajira PSRS

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Habarini,

Nimeomba ajira PSRS hivi karibuni, tangazo halikuwa na kipengele Cha any selected or short listed member will be informed for interview.

Swali je atakaechaguliwa ataajiriwa moja kwa moja?

Nawasilisha
 
Psrs hauwezii kuajiriwa bila kufanya interview hata kama wanahitajii watu 100 halafu ukaomba peke yako lazima uitwe kwenye interview na usipofaulu haupatii kazi tangazo linarudiwa kutangazwa upya
 
Habarini
Kuna siku nilipost ishu ya ajira kwa maana ya ufafanuzi juu ya tangazo la psrs lililotolewa lisilokuwa na taarifa ya watakaochaguliwa wataitwa kwenye usaili niliuliza nikajibiwa na baadhi ya wadau kuwa nitajibiwa kwenye akaunti yangu
Mwingine aliniambia wapo walioomba siku za nyuma zaidi tangazo la namna hiyo na wakaitwa moja kwa moja Dodoma kuonesha vyeti je ndivyo nitakavyojibiwa kwenye akaunti yangu kwamba nitaitwa Dodoma kuonesha vyeti vyangu?
Ushauritafadhali haswa kwa waliopitia hatua hii
 
Back
Top Bottom