Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Kweli kufa kufaana [emoji41]Mimi nipo Arusha na nahitaji mbinu za kuwaangamiza maana wamezagaa huku nje, wananikera sana hawa wadudu.
Chukua chumvi ya unga wanyunyuzie..Mimi nipo Arusha na nahitaji mbinu za kuwaangamiza maana wamezagaa huku nje, wananikera sana hawa wadudu.
Mimi nipo Arusha na nahitaji mbinu za kuwaangamiza maana wamezagaa huku nje, wananikera sana hawa wadudu.
Mara nyingi hawa wanakuwa pamoja na siwapendi wote.