Naomba ufafanuzi kuhusu Ufugaji konokono

Naomba ufafanuzi kuhusu Ufugaji konokono

Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
3,329
Reaction score
2,169
Nimepata wazo la kufuga na kuexport konokono kwenda ulaya ambako nasikia wafaransa wanawapenda

Naomba mawazo na wadau tushirikiane ktk hili

Niko Lindi na wanastawi vizuri hadi wanaharibu mazao ya wakulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo Arusha na nahitaji mbinu za kuwaangamiza maana wamezagaa huku nje, wananikera sana hawa wadudu.
 
Back
Top Bottom