Heshima Kwenu Nyote Wakuu,
Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo;
1. Je, naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe 28/12/2020 (Jioni) na Kurudi (from Pemba to Unguja) siku ya J4 tarehe 29/12/2020 (Jioni)?
2. Je ,Meli/Boat zipi ambazo zitaweza kuondoka Unguja/Pemba katika mida hiyo ya jioni?
3. Vipi swala la bei kwa first Class (meli/boat)?
4. Kwa ndege; ndege zipi ninaweza kuzi-consult (cheaper once).
Shukran sana Wakuu
CC Philipo D. Ruzige MKEHA ibanezafrica TODAYS safuher Madame S Super H @DonVito