@DonVitoHeshima Kwenu Nyote Wakuu,
Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo;
1. Je naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe 28/12/2020 (Jioni) na Kurudi (from Pemba to Unguja) siku ya J4 tarehe 29/12/2020 (Jioni)?
2.Je Meli/Boat zipi ambazo zitaweza kuondoka Unguja/Pemba katika mida hiyo ya jioni?
3.Vipi swala la bei kwa first Class (meli/boat)?
4.Kwa ndege; ndege zipi ninaweza kuzi-consult (cheaper once).
Shukran Sana Wakuu
CC Philipo D. Ruzige MKEHA ibanezafrica TODAYS safuher Madame S Super H @DonVito
1 unaweza kwa ndege coz meli zinaondoka asubuh saa mojaHeshima Kwenu Nyote Wakuu,
Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo;
1. Je naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe 28/12/2020 (Jioni) na Kurudi (from Pemba to Unguja) siku ya J4 tarehe 29/12/2020 (Jioni)?
2.Je Meli/Boat zipi ambazo zitaweza kuondoka Unguja/Pemba katika mida hiyo ya jioni?
3.Vipi swala la bei kwa first Class (meli/boat)?
4.Kwa ndege; ndege zipi ninaweza kuzi-consult (cheaper once).
Shukran Sana Wakuu
CC Philipo D. Ruzige MKEHA ibanezafrica TODAYS safuher Madame S Super H @DonVito
Shukran Sana Mkuu🙏1 unaweza kwa ndege coz meli zinaondoka asubuh saa moja
2 hakuna meli inayoondoka jion maybe jpil saa kumi inatoka pemba to tanga
3.first class 25000
4 ndege zote bei sawa