Master C mimd
Member
- Sep 26, 2019
- 46
- 55
Wewe ulitaka gari yako ndo iwe ya mwisho kusajiriwa?
Maana Yake Baada Ya Usajili Wa Gari
Haikuwa Mwisho Wa Usajili Wa Gari Tanzania, Yaani Usajili Unaendelea Kila Iitwapo Leo
Watanzania ni malimbukeni sana ya Number, Imefikia mtu mwenye namba A, anaonekana kapitwa na wakati, ndo wale anakukuta anakuambia "mbona umezeeka ivi"
Ivi kweli hamjaonana miaka 15, afu uwe vile vile! utakua mzima kweli! Si inabidi ulazwe hospitali.
Tuje kwenye mada, hizo namba mnazojivunia ni mpya leo, baada ya miaka 3 zitakua za zamani, je utatupa hilo gari?
Mkuu hiyo kasi unayosema ya DSR mpaka DTP inaweza isiwepo ila kutokea DSA kwenda DSL ni kazi rahisi sana. Nadhani inatokana pia na mtindo wa wazoefu kuhold usajili mpaka Herufi mpya kuja. mfano kiTZ kuna utofauti mkubwa sana wa DSZ na DTA kwa hiyo namba zina mtindo wa kukimbia mwanzoni alafu kutambaa mwishoni kwenye herufi karibu na Z.Mkuu mimi siko huko, kitu nilichotak kujua ni kimoja tu labda unashidwa nielewa,mfano wewe umetoka kusajili gari yako leo ukapewa DSR then unaingia barabarani unakutan na DTP huo ni mfano tu, ndio nikaona niulize labda kuna kitu mimi sikijui
Hiyo Gari Kama umeisajili TRA (Bandarini) hakuna kitu Kama hicho. Ila Kama umenunua Showroom inawezekana kabisa.Wakuu naomba kufahamu kitu kimoja kwa anaye jua, hiviusajili wa hizi plate number ukoje?
Mfano unaweza nunua gari ukaifanyia usajili safi kabisa ukapewa mfano DPT then ukiingia barabarani unakuta plate number zinasoma DST huko, hili swala limekaeje?
mkuu unaweza kutufafanulia kwenye hilo kwanini bandarini isiwezekane na showroom iwezekane?Hiyo Gari Kama umeisajili TRA (Bandarini) hakuna kitu Kama hicho. Ila Kama umenunua Showroom inawezekana kabisa.
Bandarini ndio kwanza gari imeingia, so watakupa number ambayo ni "Current" at that particular time.mkuu unaweza kutufafanulia kwenye hilo kwanini bandarini isiwezekane na showroom iwezekane?
Mkuu hiyo kasi unayosema ya DSR mpaka DTP inaweza isiwepo ila kutokea DSA kwenda DSL ni kazi rahisi sana. Nadhani inatokana pia na mtindo wa wazoefu kuhold usajili mpaka Herufi mpya kuja. mfano kiTZ kuna utofauti mkubwa sana wa DSZ na DTA kwa hiyo namba zina mtindo wa kukimbia mwanzoni alafu kutambaa mwishoni kwenye herufi karibu na Z...
Hiyo Gari Kama umeisajili TRA (Bandarini) hakuna kitu Kama hicho. Ila Kama umenunua Showroom inawezekana kabisa.
Jamaa haelewi kaingia kitaa na gari mpya ghafla ishakuwa ya zamani [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa Showroom ye alinunua akaisajili kitambo tu. Sasa unazokutana nazo Ni zile zilizosajiliwa baada ya hii ya showroom, Hiyo pekee ndo sababu.Ha ha niliumiza sana kichwa kwa lengo la kutaka kujua tu, maan niliikuta gari showroom nikalipia tukaifanyia usajili ila kuingia nayo kitaa nakuta plate number zimepaa kinoma sasa ikawa waswasi wangu isije kuwa niliuziwa gari iliyotumika, hiyo ndio sababu ya kuandika huu uzi
Hahah mjomba haamini kilichotokea anahisi amechakachuliwa.Jamaa haelewi kaingia kitaa na gari mpya ghafla ishakuwa ya zamani [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtindo wataufanya kwa mwaka mmoja tu halafu watauondoa. Wizi wa magari na namba feki zitatapakaa. Sasa hivi hatuna gari zenye mamba inayoanza na E, na hivyo gari ikionekana na namba inayoanza na E, hata raia wa kawaida tu lazima ajue kuwa ni feki.Pili
Kuanzia July baada ya bajeti mpya mtu utaweza sajili gari kwa number yoyote as long as haijasajiliwa, kwa pesa sh. Laki tano.
Hivyo kuanzia julai usishangae kukutana na gari number T XXX ZPB mfano.