#COVID19 Naomba ufafanuzi kutokana na hali ya Covid 19 nchini Ujerumani

#COVID19 Naomba ufafanuzi kutokana na hali ya Covid 19 nchini Ujerumani

Itafika muda hata wanasayansi watakata tamaa
Wakikata tamaa hizo ARV za bure mtatoa wapi? Si mtapukutika kma kuku.

Kuleta ujuaji na kejeli wakati hata paracetamol hamuwezi tengeneza!!
 
Jana tarehe 7.4.2021,Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na maambukizi.

Kutokana na taarifa hiyo, naomba mnisaidie kujibu maswali haya:
(1)Je, Ujerumani haijapata chanjo ya Corona?

(2) Kama wamepata chanjo, kwa nini maambukizi yanazidi kuongezeka?

(3) Kama hawajapata chanjo, kwa nini hawajapata?

Ahsante, ndugu zanguni.
Hamna kitu huu ni ugonjwa wa kisiasa zaidi
 
Back
Top Bottom