Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Jul 1, 2023 #81 HIMARS said: Zile pipes zinakaba sana hazivujishi Click to expand... pakiwa na watoto ni balaa ...Kuna majiko mapya karibu na oven ya umeme kuna sehemu ya kuwekea mtungi yapo safi sana ni aina mpya.
HIMARS said: Zile pipes zinakaba sana hazivujishi Click to expand... pakiwa na watoto ni balaa ...Kuna majiko mapya karibu na oven ya umeme kuna sehemu ya kuwekea mtungi yapo safi sana ni aina mpya.
N Naughty by nature JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 2,123 Reaction score 2,359 Jul 1, 2023 #82 lusekeloe said: Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake Click to expand...
lusekeloe said: Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake Click to expand...
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 1, 2023 #83 Accumen Mo said: pakiwa na watoto ni balaa ...Kuna majiko mapya karibu na oven ya umeme kuna sehemu ya kuwekea mtungi yapo safi sana ni aina mpya. Click to expand... Hakuna shida yoyote bana ndo maana twasema umezoea sana mkaa
Accumen Mo said: pakiwa na watoto ni balaa ...Kuna majiko mapya karibu na oven ya umeme kuna sehemu ya kuwekea mtungi yapo safi sana ni aina mpya. Click to expand... Hakuna shida yoyote bana ndo maana twasema umezoea sana mkaa