Naomba ufafanuzi namna ya kuweka (fuel consumption per kilometer) kwenye gari

Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007.
Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.
Si ufanye tu mwenyewe manually?fanya hivi siku ukienda petrol station weka full tank note lita ulizoweka na km zilizoko kwenye odometer mafuta yakiisha chukua kilometer ulizotembea baada ya mafuta kuisha gawa na lita za mafuta ulizoweka ijbu utakalopata ndio kilometer unazotembea per liter.Nadhani sijakosea wataalam
 
Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007.
Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.
Watu wamekosa majibu wanabaki kutoa kashfa tu.
Bonyeza button imeandikwa DISPLAY hapo kwenye STEERING WHEEL. Ukibonyeza mara moja itafuta , bonyeza tena itaonesha TEMPERATURE,bonyeza tena itaobesha RANGE yaani MAFUTA YALIYOPO YATAENDA KM NGAPI,bonyeza tena itaonesha AVERAGE FUEL CONSUMPTION, ukibenyeza tena itaonesha FUEL CONSUMPTION WAKATI UNAENDESHA hii huwa inabadilika kutokana na unavyoendesha na hali ya barabara mlima au mteremk etc.
 
Pamoja sana. Izo button zipo kushoto kwake.
 
Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007.
Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.
Nilidhani unasema gari ni la mwaka 2017 nikushauri kuwa ulitakiwa uwe na la mwaka angalau 2022! Hilo la 2007, ni hatari ya danger
 
Watu wamekosa majibu wanabaki kutoa kashfa tu.
Bonyeza button imeandikwa DISPLAY hapo kwenye STEERING WHEEL. Ukibonyeza mara moja itafuta , bonyeza tena itaonesha TEMPERATURE,bonyeza tena itaobesha RANGE yaani MAFUTA YALIYOPO YATAENDA KM NGAPI,bonyeza tena itaonesha AVERAGE FUEL CONSUMPTION, ukibenyeza tena itaonesha FUEL CONSUMPTION WAKATI UNAENDESHA hii huwa inabadilika kutokana na unavyoendesha na hali ya barabara mlima au mteremk etc.
Shukran sana mkuu kwa kumpa majibu muuliza swali bila dharau, vijembe, masimango.
 
Back
Top Bottom