Naomba ufafanuzi namna ya kuweka (fuel consumption per kilometer) kwenye gari

Naomba ufafanuzi namna ya kuweka (fuel consumption per kilometer) kwenye gari

Shukran sana mkuu kwa kumpa majibu muuliza swali bila dharau, vijembe, masimango.
Bila mbwembwe na mikogo mingi imeenda sawa hii bonyeza hio button sasa ipo kushoto kwako
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Watu wamekosa majibu wanabaki kutoa kashfa tu.
Bonyeza button imeandikwa DISPLAY hapo kwenye STEERING WHEEL. Ukibonyeza mara moja itafuta , bonyeza tena itaonesha TEMPERATURE,bonyeza tena itaobesha RANGE yaani MAFUTA YALIYOPO YATAENDA KM NGAPI,bonyeza tena itaonesha AVERAGE FUEL CONSUMPTION, ukibenyeza tena itaonesha FUEL CONSUMPTION WAKATI UNAENDESHA hii huwa inabadilika kutokana na unavyoendesha na hali ya barabara mlima au mteremk etc.
Uko vzr sana mwamba
 
Nafahamu hii kitu kwenye Landrover discovery,sijui kwenye gari za Japan kama hiyo option ipo...
 
Nashukuru Kwa majibu brother yaani watu wamenishambulia cjui mafuta cjui tafuta Hela cjui Nini bila hata kujua uhalisia ukoje duh jamii forum ya siku hizi ni hovyo sana tofauti na mwanzo
 
Afadhal mm ford ranger (wild truck) yangu haina shida kabisa kila kitu kipo kwenye dashboard, ni mm kuangalia tu,

au nadanganya ephen_? siku ile nimekupa lift si ulijionea mwenyewe?

ukisoma koment ndo utajua jf ni nyoko.
 
Nashukuru Kwa majibu brother yaani watu wamenishambulia cjui mafuta cjui tafuta Hela cjui Nini bila hata kujua uhalisia ukoje duh jamii forum ya siku hizi ni hovyo sana tofauti na mwanzo
Tumekusaidia Mkuu acha kuponda sasa hujui humu kuna vijana wa kutoka maeneo tofauti
 
Afadhal mm ford ranger (wild truck) yangu haina shida kabisa kila kitu kipo kwenye dashboard, ni mm kuangalia tu,

au nadanganya ephen_? siku ile nimekupa lift si ulijionea mwenyewe?

ukisoma koment ndo utajua jf ni nyoko.
Ukinunua nyingine hiyo niachie mimi
 
Afadhal mm ford ranger (wild truck) yangu haina shida kabisa kila kitu kipo kwenye dashboard, ni mm kuangalia tu,

au nadanganya ephen_? siku ile nimekupa lift si ulijionea mwenyewe?

ukisoma koment ndo utajua jf ni nyoko.
ford range haipendez kwa ke, imekaa kime zaid,

we nitakununulia harrier trako la nyani
Ni Ford Ranger Wildtrak.
 
Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007.
Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.

Hapo kwenye sehemu inayoonesha kilometres za gari ambazo zimetembea, kuna kama ki plastiki cheusi, kibonyeze Kwa ndani itakupa option zote
 
Back
Top Bottom