Hello Bosses,
Nimeshtushwa na hili. Je, ni halali kwa taasisi ya elimu kuwa chanzo cha mapato kwa serikali?
Nimeshtuka kuona IFM kutoa gawio karibia billion 2, juzi hapa nimemlipia dogo ada 1,800,000+, ada tu bila hostel hela ya kula na kujikimu.
Tumefika mbali sana hadi elimu ni chanzo cha mapato, kwa wanaojua naomba ufafanuzi juu ya hili.
Shangaa NIDA wanaopokea kila senti na hawafanyi biashara eti leo nao wanatoa gawio
Ukipoteza Kitambulisho Unalipa Tshs 20000/=Sema wewe ndo hujui ili uelimishwe....Moja ya mapato ya NIDA ni pale unapotaka kupata namba yako ya kitambulisho kwa kutumia mtandao wa simu...kuna makato ya shilingi 100/= ambayo yanapokelekwa kwa mfumo wa Malipo ya serikali
Ukipoteza Kitambulisho Unalipa Tshs 20000/=
Uweze Kupatiwa Kingine, Wanastahiri Kulipa Gawio Serikali
Sema wewe ndo hujui ili uelimishwe....Moja ya mapato ya NIDA ni pale unapotaka kupata namba yako ya kitambulisho kwa kutumia mtandao wa simu...kuna makato ya shilingi 100/= ambayo yanapokelekwa kwa mfumo wa Malipo ya serikali
Unapotoa gawio maana yake unajiendesha bila ruzuku ya serikali. Sasa ni kweli kuwa hiyo 100/= inatosha kujiendesha na kupata faida!Sema wewe ndo hujui ili uelimishwe....Moja ya mapato ya NIDA ni pale unapotaka kupata namba yako ya kitambulisho kwa kutumia mtandao wa simu...kuna makato ya shilingi 100/= ambayo yanapokelekwa kwa mfumo wa Malipo ya serikali
Sasa unataka wafanyaje wakati necha ya awamu hii ni comedy?Siasa zitatupeleka pabaya. Hata taasisi zisizofanya biashara pia zinatoa gawio.
Nchi masikini hua haziendelei kwa sababu nyingi sana. Wenzetu hizi drama hua hazipo.
NIDA wametoa gawio!! Basi kazi ipo.Nimeshangaa eti NIDA wametoa gawio.....wamepata wapi hizo pesa ?au wanauza vitambulisho?
Wapi tena nimejitoa ufahamu?Sasa unataka wafanyaje Wakati necha Ya awamu hii ni comedy? Au unajitoa ufaham kuwa hujui, ndio utaratibu wa sasa, wewe Kama ni mkuu wa tasisi yoyote Ya serikali unapaswa kutafuta kiki, usaniii na comedy uweke hadharani mbele Ya mkuu la sivyo basi uwe unaaalika vyombo vya habari Kama sendeka unasifiaaaa hadi kero Halafu unatoa hela unampa mwandishi unamwelekeza kuwa hiyo habari hakikisha mkuu ameiona