Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Ndiyo comedy yenyewe.Nadhan ujajua inabid vile vijisent vya bajeti wanavyotengewa wavibane ili waje watoe gawio.sidhan kama ni profit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo comedy yenyewe.Nadhan ujajua inabid vile vijisent vya bajeti wanavyotengewa wavibane ili waje watoe gawio.sidhan kama ni profit
kwani kuna aliyesema kuwa chuo hakiboreshwi,Bora watoe na chuo kisiboroshwe kuliko wasitoe na chuo kisiboreshwa. Bora watoe halafu zirudishwe tena kwao. Wasipotoa nyingi zitaishia kwenye mifuko ya watu, lakini wakiziweka hadharani watu wakajua angalau kutakuwa na woga kwenye matumizi ya hovyo hovyo.
Awamu tutaona mengi. Principles za uchumi hazina nafasi. Kama shirika limeshindikana, waliue tujue moja.Kwahiyo hayo maswala ya gawio ni ya awamu ya 5 tu, awamu zilizopita walikuwa wapi?
Ni mwendo wa kumfurahisha Jiwe. Reasoning hakuna tena.Hata mm ningekua mkuu wa chuo ningetoa gawio hata kama wanafunzi watakaa chini ili niokoe kibarua changu, ushasikia wasiotoa gawio baada ya siku 60 bodi zivunjwe
Hii ndiyo comedy kubwa lao. Wanashindwa kutengeneza Vitambulisho vingi na haraka kwa ukosefu wa fedha. Leo wanatoa gawio.Nimeshangaa eti NIDA wametoa gawio.....wamepata wapi hizo pesa ?au wanauza vitambulisho?
Mkuu Akishauri Ni Amri Bwana Mwenyekiti HuelewiKwa hiyo wataka nambia kati ya vitambulishi walivyotoa. Vimepotea zaidi ya vitambulisho 100000 laki 1?
Inawezekana.Hello Bosses,
Nimeshtushwa na hili. Je, ni halali kwa taasisi ya elimu kuwa chanzo cha mapato kwa serikali?
Nimeshtuka kuona IFM kutoa gawio karibia billion 2, juzi hapa nimemlipia dogo ada 1,800,000+, ada tu bila hostel hela ya kula na kujikimu.
Tumefika mbali sana hadi elimu ni chanzo cha mapato, kwa wanaojua naomba ufafanuzi juu ya hili.
Nimeche ka bila kupenda....Mbona unajifanya kujua sana? Wengine wamekaa kimya wewe unakuwa kama yule mtoto mkorofi...Hii ndiyo comedy kubwa lao. Wanashindwa kutengeneza Vitambulisho vingi na haraka kwa ukosefu wa fedha. Leo wanatoa gawio.
Wametoa bil 2 wakaomba Tril 1. Hahahaa hii kiboko.Nimeona Chuo cha fedha IFM ikiwemo katika mashirika ya umma yaliyotoa gawio/mchango kwa serikali. Wangetoa billion 2.
Vyuo vyote vya umna vina matatizo sugu ya upungufu wa vitendea kazi. Vimekuwa na wanafunzi wengi kupita uwezo wake.
Hizo ni taasisi za umma zenye kutoa huduma na kimsingi hawafanyi biashara. Ndiyo maana wanapata ruzuku toka serikalini.
Sasa nashangaa uwezo huo wa kutoa gawio/mchango wameupata wapi. Hata kama wanaingiza fedha kwa kufanya consultancy, kwa nini wasitumie fedha hizo kutatua baadhi ya changamoto walizonazo?
Tena kwa maneno ya Rais, wamevichongea vyuo vingine. Sitashangaa kuona UDSM, UDOM, ARU nao wanatoa gawio ingawa wanashindwa kuendeleza vyuo hivyo kwa ukosefu wa fedha. Lengo limekuwa kumfurahisha Jiwe.
TTCL kinara wa kutoa gawio sijawasikia mwaka huu. Mwaka jana walitoa Billion 2 lakini wakaomba Trillion moja!
"THINGS FALL APART"Nimeona Chuo cha fedha IFM ikiwemo katika mashirika ya umma yaliyotoa gawio/mchango kwa serikali. Wangetoa billion 2.
Vyuo vyote vya umna vina matatizo sugu ya upungufu wa vitendea kazi. Vimekuwa na wanafunzi wengi kupita uwezo wake.
Hizo ni taasisi za umma zenye kutoa huduma na kimsingi hawafanyi biashara. Ndiyo maana wanapata ruzuku toka serikalini.
Sasa nashangaa uwezo huo wa kutoa gawio/mchango wameupata wapi. Hata kama wanaingiza fedha kwa kufanya consultancy, kwa nini wasitumie fedha hizo kutatua baadhi ya changamoto walizonazo?
Tena kwa maneno ya Rais, wamevichongea vyuo vingine. Sitashangaa kuona UDSM, UDOM, ARU nao wanatoa gawio ingawa wanashindwa kuendeleza vyuo hivyo kwa ukosefu wa fedha. Lengo limekuwa kumfurahisha Jiwe.
TTCL kinara wa kutoa gawio sijawasikia mwaka huu. Mwaka jana walitoa Billion 2 lakini wakaomba Trillion moja!
Hii Ni kweli??!Nimeshangaa eti NIDA wametoa gawio, wamepata wapi hizo pesa? Au wanauza vitambulisho?
The Centre can not hold"THINGS FALL APART"
Ndiyo tunakoelekea sasaUtasikia na Hospitali ya Mhimbili na Mloganzila nazo zimetoa gawio,hata soko la Kaliakoo na Mwanjelwa zimetoa gawio.kweli tutaona mengi.
Nimeona Chuo cha fedha IFM ikiwemo katika mashirika ya umma yaliyotoa gawio/mchango kwa serikali. Wangetoa billion 2.