Naomba ufafanuzi taasisi ya elimu (Chuo) kutoa gawio kwa Serikali

kwani kuna aliyesema kuwa chuo hakiboreshwi,
 
Kwa hiyo wataka nambia kati ya vitambulishi walivyotoa. Vimepotea zaidi ya vitambulisho 100000 laki 1?
Mkuu Akishauri Ni Amri Bwana Mwenyekiti Huelewi
😂😁😀😀🤣😃😅😅😅
 
Inawezekana.
Kwa kupunguza gharama za uendeshaji na kubuni miradi /huduma zenye kuleta tija.
Kwa mfano Taasisi za elimu zinaweza kuingia mikataba ya wakufunzi wake kufundisha kwingine,huduma za ushauri na machapisho/vitabu.
Ukodishaji wa kumbi za mikutano,makusanyo ya tozo mbalimbali kwa mfano,parking za magari n.k
 
Hii ndiyo comedy kubwa lao. Wanashindwa kutengeneza Vitambulisho vingi na haraka kwa ukosefu wa fedha. Leo wanatoa gawio.
Nimeche ka bila kupenda....Mbona unajifanya kujua sana? Wengine wamekaa kimya wewe unakuwa kama yule mtoto mkorofi...
 
Wametoa bil 2 wakaomba Tril 1. Hahahaa hii kiboko.
 
"THINGS FALL APART"
 
Utasikia na Hospitali ya Mhimbili na Mloganzila nazo zimetoa gawio,hata soko la Kaliakoo na Mwanjelwa zimetoa gawio.kweli tutaona mengi.
Ndiyo tunakoelekea sasa
 

Haya mashirika yanakufa!

Mkuu

Yatakufa kifo kabisa!

Au wanafanya mchezo wa kipumbavu wa kutoa gawio 2Bilion halafu January wanachukua 40Bilioni hazina

Ni upumbavu!

Huyu jamaa aisee!

Michezo ya kitoto sana halafu anadhani anamsaidia nani?
 
Suala la gawio mbona ni kawaida tu labda tu kwa sabb hatuna Elimu ya kutosha lakini kama taasisi inajiendesha yenyewe wakati huo serikali imeweka hisa zake pia(ina sehemu ya umiliki) lazima wakati wa faida wagawane
Ule utegemezi wa 100% wa taasisi za serikali kwa serikali siku hizi hiyo lelemama haipo kabisaa badala yake taasisi nyingi zinajiendesha zenyewe kwa kubuni miradi itakayotunisha mifuko yao mfano:- Parking nyingi hapo Dar zinamilikiwa na Tarura so pesa inayopatikana inafanya kazi na faida wanagawana na serika nk

Kimsingi niipongeze serikali na wakurugenzi wapya wa hizo taasisi kwa sbb tukienda mbali badala ya kodi ya mwananchi kuwa na mgawanyo mkubwa badala yake inaelekezwa kwenye miradi ya kimkakati na bado taasisi zinapiga kazi bila kuwa na utegemezi wa moja kwa moja kwa serikali
SERIKALI OYEE MAGUFULI OYEE
 
Hakuna taasisi isiyo na changamoto. Ww unadhani TPA hawana shida na upanuzi wa bandari, au unafikir hawana madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…