Sijui unaishi nchi gani. Nina uhakika sio Tanzania. Na kama upo Tanzania, basi unadhani kuendesha a proper higher learning institution ni sawa na sekondari kata.Wewe huelewi chochote, au unadhani Serikali inaendeshwa mithili ya familia yako? Matengenezo yote unayoyaongelea katika Taasisi za umma yana bajeti yake, Mtu hawezi kukurupuka tu na kutumia fedha kwa tatizo ambalo hazikuelekezwa kwake. Muda mwingine tuwe tunatumia akili kidogo tu kufikiri, maana inawezekana nyie ndo future leaders wa nchi hii, lakini msipojielimisha mambo haya madogo mnakuwa janga la Taifa.
Ni Namna Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Awamu Hii Ya TanoSasa hiyo ni biashara au.. Ndo utasikia jeshi nalo limerudisha gawio au polisi.. Hizo ni gharama tu za uendeshaji sasa mbona vitambulisho havitolewi
Nchi masikini hata wasomi wanafikiri kimasikin Kama hawana Elimu baada ya kuongeza tafiti za kutosha na kuongeza wigo wa vijana kupata Elimu na kuongeza matawi maeneo mengi tunazungumzia kupata faida kwa Serikali wacha tuendelee kuwa Nchi masikini na wajinga...
Upo sahihi Mkuu swala la Elimu na tafiti tupo nyuma sana ikilinganishwa na idadi ya watu harafu unaambiwa eti nao Elimu wana ziada ya kugawa...Ushamba tuu wa wasomi au unafiki
Mkuu wewe ndiyo kanjanja. Unaelewa vyanzo vyote vya mapato vya Nida?Saa zingine tumia akili usijifanye mjuaji.
Wametoa Bilioni 2 na point je maana yake walioulizia vitambulisho ni watu milioni 20?
Kwa kuvaa miwani ya mbao, kwa kutojua au kwa makusudi, hauwezi kuona vyanzo vya mapato vya taasisi hizo.Siasa zitatupeleka pabaya. Hata taasisi zisizofanya biashara pia zinatoa gawio.
Nchi masikini hua haziendelei kwa sababu nyingi sana. Wenzetu hizi drama hua hazipo.
Hivi Rais anaweza akazungumza jambo asilolielewa kiuonevu kama layman?Hata mm ningekua mkuu wa chuo ningetoa gawio hata kama wanafunzi watakaa chini ili niokoe kibarua changu, ushasikia wasiotoa gawio baada ya siku 60 bodi zivunjwe
Usicheke wala kushangaa, huo ndio mfumo wa serikali.Wametoa bil 2 wakaomba Tril 1. Hahahaa hii kiboko.
Sijui unaishi nchi gani. Nina uhakika sio Tanzania. Na kama upo Tanzania, basi unadhani kuendesha a proper higher learning institution ni sawa na sekondari kata.
I am wasting my time kujadili nawe.
Nina uhakika wewe ni kijana mdogo.Wewe kweli naona siyo level zangu kabisa in terms of understanding things in a wider perspective. Unazungumzia usawa in terms of what? Nenda kajielimshe jinsi the so-called "Government's Consolidated Fund" inavyofanya kazi ndo uone unachokiongea kinasadifu hoja yako. Kajielielimishe ni wapi fedha zinazolipiwa kwa Control Numbers zinaingia; kuanzia applications fees hadi ada ya chuo ndio uone ujinga wako unalala wapi.
In terms of management approaches, kuendesha sekondari kunaweza kukafanana na chuo kabisa. Though kuna vitu ambavyo either of the two hatakuwa navyo ambavyo mwingine atakuwa navyo. Acha ushamba mdogo wangu
Nina uhakika wewe ni kijana mdogo.
Issues za consolidated fund zinatoka wapi?
Things are more clear now. Just imagine hata loss making parastatals za biashara nazo zinatoa dividend.
Only in Tanzania can a government owned higher learning institution provide ca dividend to the same government. Dividend from what business? Only God knows!