Naomba ufafanuzi wa dawa ya neurobine na multivitamin

Naomba ufafanuzi wa dawa ya neurobine na multivitamin

Joined
Sep 4, 2016
Posts
62
Reaction score
42
habarini za jioni!
naomba ufafanuzi wa matumizi ya dawa za neurobine na multivitamins kwa mtu mzima na mama anayenyonyesha. prescriptions za daktari zimenichanganya mana aliniambia aliconiambia kwa mdomo tofauti na alichoandika, mfano neurobine aliniambia nitumie 1 mara 2, wakati kwenye dawa ameandika 2 mara 2, na multivitamins ameniandikia 2 mara 2.
naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom