Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Altezza

Geeviper

New Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimejikuta nashindwa kuamua kwani mimi nilikua na mpango wa kununua Altezza, lakini najikuta nashindwa kwa sababu ukijarbu kufatilia resale ya hzo gari inakua ni chini sana.

Sasa najiulza hizo gari zinakua na shida gani haswa mpaka znauzwa bei ya chini hivyoo. Kingine, kama kuna gari tofauti na hilo nipeni ushauri na sifa zake ninunue.

 
Hizo gari hazina shida kivile isipokuwa haya Magari hayana matoleo mapya nahisi tangia mwaka 2003 ndiyo mwisho na baada ya hapo Toyota waliacha kutengeneza...
Pia alteza zilinunuliwa na vijana Tu na ndio haohao wanauza Kwa bei ya kutupa ili kununua Magari ya kisasa zaidi, sikuhizi vijana wapo Kwenye subaru impreza
 
Altezza imekaa kihuni sana
 
Vijana wa usalama wanazipenda sana
 
Ilikuwa ni brand iliyojaribu kuiga race sports cars lakini ikafeli vibaya hasa kwenye consumption ya mafuta na comfortability

Jr[emoji769]
 
Nimeichek BMW X3 bei SI mbaya. Tatizo finishing Yake imekaa kama Perege
 
Na forester XT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…