Habari zenu wana JamiiForums,
Nimejikuta nashindwa kuamua kwani mimi nilikua na mpango wa kununua Altezza, lakini najikuta nashindwa kwa sababu ukijarbu kufatilia resale ya hzo gari inakua ni chini sana.
Sasa najiulza hizo gari zinakua na shida gani haswa mpaka znauzwa bei ya chini hivyoo. Kingine, kama kuna gari tofauti na hilo nipeni ushauri na sifa zake ninunue.