Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Opa iliyochangamkaKama wewe ni mwanamke iwahi haraka
Kwakweli sijawahi bahatika kuona ameshuka dereva wa kiume kwenye hiyo gari
😀😀😀😀😀😀Wewe unataka itumie kiasi gani?
Bei za mafuta zinapanda na kushuka achana na mawazo ya mafuta kama unataka usafiri
Ya mwaka gani?Wakuu mambo vipi? Toyota Rumion yenye cc 1490 hutumia mafuta kiasi gani per kilometer?
Ha ha haa jamaa kakimbia uzi wakeYa mwaka gani?
Inarange 10-16 km kwa lita kutegemea na sehemuWakuu mambo vipi? Toyota Rumion yenye cc 1490 hutumia mafuta kiasi gani per kilometer?
Hiyo rpm kwa chuma changu huwa100+Nimekivuta hivi karibuni,naendesha na AC Full time.
Kina sport mode ambayo ukiiweka ingini inaita na unaovertake uwezavyo kwani hufika spidi 100 ndani ya sekunde 5 tu.naogopa kusema inaweza kuwa...
Sawa sawa, lakini haujajibu swali lake.Nimekivuta hivi karibuni,naendesha na AC Full time.
Kina sport mode ambayo ukiiweka ingini inaita na unaovertake uwezavyo kwani hufika spidi 100 ndani ya sekunde 5 tu.naogopa kusema inaweza kuwa chinja chinja kama harrier ,gx 100 na alteza kwa vile ni gari za vijana...
Hua inatembea 15km kwa Litre moja!Ya 2008