van_drakee
Member
- Sep 28, 2018
- 30
- 57
Fata huu ushauri Mzee ... Utakuja kushukuru baadaeMpaka hapa Hakuna aliyemshauri, mnamjadili, Honda sio Gari Baya Kwa kweli, Ila kweli maelezo yako wewe endelea Na Toyota tu, Na Toyota Kwa kweli nakushauri stay Kwa IST ruminion sina kabisa uzoefu nayo...