Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

Kilimanjaro magari ya Baby walker HAKUNA miinuko ya huko Kishimu du unaisikia au unaambiwa, mpaka leo wazee wa huko Wana Toyota Stuat, au Dyna
NI magari ya juu yenye 4WD ndio asilimia kubwa
Mluga luga si Lazima akae alipozaliwa Kishumundu unaweza kukuta yupo Babati huko anachoma Kitimoto Sasa anatafuta Rumion ya kubebea kitimoto
 
Mpaka hapa Hakuna aliyemshauri, mnamjadili, Honda sio Gari Baya Kwa kweli, Ila kweli maelezo yako wewe endelea Na Toyota tu, Na Toyota Kwa kweli nakushauri stay Kwa IST ruminion sina kabisa uzoefu nayo.

Ni kweli passo ina space zaidi ndani hapa Mbele kuliko IST, but Kwa ukweli IST Ni better Sana compared Na passo!

Honda si Baya Ila Lazima uwe makini Sana Na kupata mafundi sahihi Na spare and this can be a bit cost full! Nimekaa USA Na kutumia Honda Sana, one of the best car, but USA yanatumika Sana mafundi Na spare vipo Kwa wingin.
 
Mkuu wewe ni mtumishi wa Umma uko idara gani?

Maana mwandiko wako ukilinganisha na mimi muuza majeneza wa kijiji yaani haueleweki kabisa au we ni polisi?

Maana nasikiaga idara hiyo ndo inaongoza kuajiri vilaza wengi!

By the way ntarudi kukomenti kuhusiana na hayo magari ngoja niulize kwa wazoefu
 
Kuna watu nafikiri ni wajinga, ama ulimbukeni for small cars chini ya 1000cc passo kwangu ni the best car.

Wengi wenu humu mnabeza gari anayotumia mtu, mtuambie mnatumia magari gani kama hamjaja na tvs, ama toyo humu.

Kila mtu hujikuna pale mkono umeishia, uwezo wangu mm ni gari ndogo so kma unahela za kuwa na gari kubwa its you and your life, kama huna cha kunishauri bora ukapita na hamsini zako, hakuna alokulazimisha kucoment.
 
Pitia huo Uzi wangu utapata dondoo
 
Back
Top Bottom