Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Wish

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Wish

Johnkelly

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
75
Reaction score
45
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya Toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable.

Nawasilisha.

1627377879951.png
 
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable nawasilisha
TOYOTA WISH

[emoji618]CC 1790 PETROL
Automatic
2WD
[emoji575]Seat 7
[emoji376]Door 5


Fuel Consumption yake 14 Km/L


Ubora liko vizuri ila kama unakaa sehemu yenye barabara mbaya litakuwa linakwaruza sana chini hii itapelekea body lake lionekane baya/ gari kuonekana imechoka

Comfortability iko poa
FB_IMG_16273314603918665.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
Opa zetu walisema ziko kama Jeneza

Noah walisema kama Nguruwe/kitimoto

Sasa hii mpya tena Wish kama panya asanteni kwa kutudharau
Hahahahah wanaitaga opa gari ya kubebea maiti 😅😅😅 kmmmk zao walai! Leo Wish imekaa kama panya 😂 ila hii kama inakuja flani hasa ukiiangalia on the sideways😂😂😂
 
TOYOTA WISH

[emoji618]CC 1790 PETROL
Automatic
2WD
[emoji575]Seat 7
[emoji376]Door 5


Fuel Consumption yake 14 Km/L


Ubora liko vizuri ila kama unakaa sehemu yenye barabara mbaya litakuwa linakwaruza sana chini hii itapelekea body lake lionekane baya/ gari kuonekana imechoka

Comfortability iko poaView attachment 1869556
Je,gari hii inaweza kufika mikononi Toka Japan kwa ml 12?
 
Back
Top Bottom