Naomba ufafanuzi wa kipimo cha ESR

sherida

Senior Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
133
Reaction score
194
Jamani wakuu mwanangu anahoma siku ya pili leo nimempeleka hospitali kapimwa hana maleria wala hana UTI wakampima kipimo kinachoitwa ESR wakasema ni 80 sijaelewa hii ni nini au ni ugonjwa gani huu
 
KAKA HICHO NI KIPIMO CHA DAMU UNAPIMWA KILA KITU KILICHO KWENYE DAMU, HALAFU DOKTA ATAKUELEZA UNATATIZO GANI, Nikipimo kizuri sana, Ukienda HINDU MADAL ukieleza matatizi yaku wanakupima ESR, Kipimo kinatoa kama karatasi 2 na range value ya kila kitu, mfano red blood sell. sijui white cell, fluids, kama hitu flani kipo nje ya range kipimo kinabold, Ila sijajua bei yake, Kama sio hicho sijui hapo
 
Mkuu ume kosea kidogo labda kama ume kifananisha icho kipimo.
 
Jamani wakuu mwanangu anahoma siku ya pili leo nimempeleka hospitali kapimwa hana maleria wala hana UTI wakampima kipimo kinachoitwa ERS wakasema ni 80 sijaelewa hii ni nini au ni ugonjwa gani huu
ESR( Erthrocyte sedimentation rate) ichi kipimo kina onyesha high au low infection zilizo kwenye damu sana sana chronic infection kama TB, HIV, syphilis na vinginevyo.
Lakini ni kipimo ambacho hakiko specific just kina tumika kama screen mwanzo waku endeleza diagnosis za magonjwa mengine. Ni aina ya tubes ambazo zina tundikwa kwa lisaa ivyo SI unit yake ni (mm/hr) sikumbuki vzr normal range yake lakini 1-10mm/hr ina onyesha kuwa huyo mtu ana chronic infction alafu > ya hapo ina onysha mtu ana infection lakn huwez ijua ni ipi.

NOTE: ESR siku hizi hakitumiki hosptal nyingi maana ni kipimo ambacho hakina significant labda dr aandike tu kuku ridhisha.
 

Asante sana ni baada ya kuona sijui hayo magonjwa Hana na akaniambia ni 80 eti binadamu anatakiwa 10 duh hapo nikalewa
 
Ok. Ila ni lazima kufanya vipimo vingine maana kama hyo ESR> 10 mm/hr means kuna magonjwa mengine anayo so ni kazi kwako kuyatafuta anza na FBP( full blood picture) widal test, brucella, mwisho malizia na pitc& urinaliysis uta pata jibu.
Asante sana ni baada ya kuona sijui hayo magonjwa Hana na akaniambia ni 80 eti binadamu anatakiwa 10 duh hapo nikalewa
 
Ok. Ila ni lazima kufanya vipimo vingine maana kama hyo ESR> 10 mm/hr means kuna magonjwa mengine anayo so ni kazi kwako kuyatafuta anza na FBP( full blood picture) widal test, brucella, mwisho malizia na pitc& urinaliysis uta pata jibu.
upo vizuri!!!
 
Normal range:1-10 mm/hour.
In old age (>50years)up to 20 mm/ hour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…