Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ume kosea kidogo labda kama ume kifananisha icho kipimo.KAKA HICHO NI KIPIMO CHA DAMU UNAPIMWA KILA KITU KILICHO KWENYE DAMU, HALAFU DOKTA ATAKUELEZA UNATATIZO GANI, Nikipimo kizuri sana, Ukienda HINDU MADAL ukieleza matatizi yaku wanakupima ESR, Kipimo kinatoa kama karatasi 2 na range value ya kila kitu, mfano red blood sell. sijui white cell, fluids, kama hitu flani kipo nje ya range kipimo kinabold, Ila sijajua bei yake, Kama sio hicho sijui hapo
poaMkuu ume kosea kidogo labda kama ume kifananisha icho kipimo.
ESR( Erthrocyte sedimentation rate) ichi kipimo kina onyesha high au low infection zilizo kwenye damu sana sana chronic infection kama TB, HIV, syphilis na vinginevyo.Jamani wakuu mwanangu anahoma siku ya pili leo nimempeleka hospitali kapimwa hana maleria wala hana UTI wakampima kipimo kinachoitwa ERS wakasema ni 80 sijaelewa hii ni nini au ni ugonjwa gani huu
ESR( Erthrocyte sedimentation rate) ichi kipimo kina onyesha high au low infection zilizo kwenye damu sana sana chronic infection kama TB, HIV, syphilis na vinginevyo.
Lakini ni kipimo ambacho hakiko specific just kina tumika kama screen mwanzo waku endeleza diagnosis za magonjwa mengine. Ni aina ya tubes ambazo zina tundikwa kwa lisaa ivyo SI unit yake ni (mm/hr) sikumbuki vzr normal range yake lakini 1-10mm/hr ina onyesha kuwa huyo mtu ana chronic infction alafu > ya hapo ina onysha mtu ana infection lakn huwez ijua ni ipi.
NOTE: ESR siku hizi hakitumiki hosptal nyingi maana ni kipimo ambacho hakina significant labda dr aandike tu kuku ridhisha.
Asante sana ni baada ya kuona sijui hayo magonjwa Hana na akaniambia ni 80 eti binadamu anatakiwa 10 duh hapo nikalewa
upo vizuri!!!Ok. Ila ni lazima kufanya vipimo vingine maana kama hyo ESR> 10 mm/hr means kuna magonjwa mengine anayo so ni kazi kwako kuyatafuta anza na FBP( full blood picture) widal test, brucella, mwisho malizia na pitc& urinaliysis uta pata jibu.
Pamoja mdau.upo vizuri!!!
Normal range:1-10 mm/hour.ESR( Erthrocyte sedimentation rate) ichi kipimo kina onyesha high au low infection zilizo kwenye damu sana sana chronic infection kama TB, HIV, syphilis na vinginevyo.
Lakini ni kipimo ambacho hakiko specific just kina tumika kama screen mwanzo waku endeleza diagnosis za magonjwa mengine. Ni aina ya tubes ambazo zina tundikwa kwa lisaa ivyo SI unit yake ni (mm/hr) sikumbuki vzr normal range yake lakini 1-10mm/hr ina onyesha kuwa huyo mtu ana chronic infction alafu > ya hapo ina onysha mtu ana infection lakn huwez ijua ni ipi.
NOTE: ESR siku hizi hakitumiki hosptal nyingi maana ni kipimo ambacho hakina significant labda dr aandike tu kuku ridhisha.
Sawa. Ngja na mm nifungue ma karabrasha ni thibitishe.Normal range:1-10 mm/hour.
In old age (>50years)up to 20 mm/ hour
Ikiwa 30mm/hr miaka 31 kunashida hapoNormal range:1-10 mm/hour.
In old age (>50years)up to 20 mm/ hour
Huwa ni shida inapa nafasi dr kuagiza vipimo vingine zaidi mara nyingi huwa associated na low immunity.Ikiwa 30mm/hr miaka 31 kunashida hapo