Naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili

Naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye jambo hili

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa.

Mfano badala ya kusema JamiiForum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, JamiiForums watakuwa na haki ya kushtaki au kujibu tuhuma husika?
 
Ikiwa mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa.

Mfano badala ya kusema jamiiforum wamefanya hivi au vile, yeye akasema 'jamaaforum!' Je, jamiiforums watakuwa na haki ya kushtaki au kujibu tuhuma husika?
Umenikumbusha ile kesi ya Tundu Lissu na alivyoitafsiri JPM kuwa alimaanisha Jesica Paul Maxwell. Biashara iliishia hapo
 
Back
Top Bottom