Naomba ufafanuzi wa namna ya kupata bima baada ya kupata ajali

Joined
Jul 29, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Habarini wakuu,

Hivi ukipata ajali (ukigonga) na kuharibu gari lako na la mtu uliemsababishia ajali, ni taratibu gani za kufuata ili watu wa bima wahusike kucover gharama za matengenezo kama nima yako ni comprehensive?
 
Una bima ya Aina gani..third party au comprehensive?
 
Habarini wakuu,

Hivi ukipata ajali (ukigonga) na kuharibu gari lako na la mtu uliemsababishia ajali, ni taratibu gani za kufuata ili watu wa bima wahusike kucover gharama za matengenezo kama nima yako ni comprehensive?
Wapigie simu insuarer wako au agent aliyekukatia bima
 
Back
Top Bottom