Naomba ufahamu kuhusu biashara ya damu ya ngombe

Naomba ufahamu kuhusu biashara ya damu ya ngombe

shangoo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
325
Reaction score
361
Wakuu habari na poleni na majukumu,nisiwachoshe napenda kufahamu hii biashara kwenye vipengele
1.upatikanaji wake
2. Soko lake
3. Bei yake
4. Changamoto zake.

Nashukuru.
Shangoo wa kulyamba.
 
Unataka damu ya ngo'mbe ufanye nayo nn?? Hapa ipo ya nguruwe kwa siku ipo Lita kama 130 bei maelewano najua hii haipatan na majini
Duuh nashukuru mkuu
 
  • Thanks
Reactions: wax
Wakuu hivi ni kweli jukwaa zima hakuna mwenye ujuzi wa hii biashara
 
sijawahi sikia damu ya ng'ombe inauzwa wa kusikia hata matumizi yake, kama hata wewe hujui basi hii kitu haipo.
 
sijawahi sikia damu ya ng'ombe inauzwa wa kusikia hata matumizi yake, kama hata wewe hujui basi hii kitu haipo.
Inauzwa ndio na inatumika kwenye kuchanganya kwenye mchanganyiko wa chakula cha kuku
 
Damu inapatikana machinjioni ukienda kule utajua ni bei gn ila rejareja inauzwa 1500/= kwa kilo kwenye duka la vyakula vya kuku
 
sijawahi sikia damu ya ng'ombe inauzwa wa kusikia hata matumizi yake, kama hata wewe hujui basi hii kitu haipo.
Mi nadhani sehemu za machinjioni ndo atapata. Na ninafahamu ina tumika kutengenezea chakula cha kuku.
 
Mkuu umeona kuna sehem nimesema nauza damu? Nimeuliza mwenye ujuzi anisaidie maarifa ya biashara hii ya damu ya ngombe
Wewe ndio uanze kitoa maelezo wapi uliwahi kuambiwa kuna biashara hiyo ya dam ya ngombe mimi binfs sijawahi kusikia kuna biashara hiyo na pengine sia mimi ebu jipambanue wapi ulion hiyo biashara
 
Damu ya ng'ombe kwa ajili ya KISUSIO.

Kwa wale wachagga watakuwa wamenielewa
 
Kwa wachaga wanaipenda sana, ukiweza peleka kwenye bar zinazouza supu ya mbuzi ,peleka ikiwa na moto ndiyo nzuri kwa kisusio!!
 
Back
Top Bottom