Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka damu ya ngo'mbe ufanye nayo nn?? Hapa ipo ya nguruwe kwa siku ipo Lita kama 130 bei maelewano najua hii haipatan na majini
Unauzaje hiyo damuDar mkuu
Mkuu umeona kuna sehem nimesema nauza damu? Nimeuliza mwenye ujuzi anisaidie maarifa ya biashara hii ya damu ya ngombe
Mi nadhani sehemu za machinjioni ndo atapata. Na ninafahamu ina tumika kutengenezea chakula cha kuku.sijawahi sikia damu ya ng'ombe inauzwa wa kusikia hata matumizi yake, kama hata wewe hujui basi hii kitu haipo.
Wewe ndio uanze kitoa maelezo wapi uliwahi kuambiwa kuna biashara hiyo ya dam ya ngombe mimi binfs sijawahi kusikia kuna biashara hiyo na pengine sia mimi ebu jipambanue wapi ulion hiyo biasharaMkuu umeona kuna sehem nimesema nauza damu? Nimeuliza mwenye ujuzi anisaidie maarifa ya biashara hii ya damu ya ngombe
Mkuu jina tu hilo, mimi sio masai, joke