Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu damu ya ng'ombe inayozungumziwa hapa ni kwaajili ya malisho ya wanyama kama nguruwe na kuku na inauzwa ikiwa kavu na imekuwa packed kwenye mifukoDamu ya ng'ombe kwa ajili ya KISUSIO.
Kwa wale wachagga watakuwa wamenielewa
damu ya ng'ombe utumika kama madini kwa kuku,huchanganywa na chokaa na mifupa wanapewa kuku na kulasijawahi sikia damu ya ng'ombe inauzwa wa kusikia hata matumizi yake, kama hata wewe hujui basi hii kitu haipo.
Ipeleke Dubai inasoko sana kule.Unataka damu ya ngo'mbe ufanye nayo nn?? Hapa ipo ya nguruwe kwa siku ipo Lita kama 130 bei maelewano najua hii haipatan na majini
Mkuu sina damu najifunza,nahisi ww mzoefu naomba unifumbue macho na akili kwa hili