walimu hebu jiandaeni ki psychologia na mjipange kutafuta kazi hata private. kampuni binafsi kwani ukipitia taarifa za halimashauri mbalimbali utaona idadi ya upungufu wa waalimu utakuta wilaya nyingi zina hitaji waalimu wa arts chini ya 30, nyingine wanahitaji waalimu wa sayansi hasa physics, mathematics . chemistry biology pia uhaba umepungua saana. arts unakuta wilaya nyingi zinahitaji waalimu wa english na civics nini mfano wa wilaya kama 9 kutoka mikoa ile ambayo waalimu hawaipendi but still wana upungufu wa walimu 26-31 wa arts na 40-72 sayansi zaidi phy na maths. hapa napata picha fulan ya walioko vyuoni wajipange watoke na gpa kubwa kwan idadi ndogo hiyo miaka ijayo ushindani utakuwa mkubwa.