Naomba uhakika kuhusu ajira za ualimu

Naomba uhakika kuhusu ajira za ualimu

bridal

Senior Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
116
Reaction score
18
Kuna mtu anadai Gazeti la tarehe 27 jan,2015 la The Gurdian linadai ajira mpaka Julai. Likiwa na title hii. Kawambwa: Post on july
Je kuna ukweli katika hilo?
 
Hata Mie nimeisoma ivo kweli, nimekua mdogo kama piritoni lol!
 
Hilo gazeti nililicreate mimi kupitia photo funia tena nikaweka picha yetu ya graduation nikalipost kwenye group la UDSM baed 2014 na ilikuwa ni utani
 
Kuna mtu anadai Gazeti la tarehe 27 jan,2015 la The Gurdian linadai ajira mpaka Julai. Likiwa na title hii. Kawambwa: Post on july
Je kuna ukweli katika hilo?


Si kweli kwakuwa ajira zenu zipo kwenye budget ya 2014/15 inayoishia 31 June. So ya JULY haiwahusu na post ni march.

Kila la heri kwenu.
 
walimu hebu jiandaeni ki psychologia na mjipange kutafuta kazi hata private. kampuni binafsi kwani ukipitia taarifa za halimashauri mbalimbali utaona idadi ya upungufu wa waalimu utakuta wilaya nyingi zina hitaji waalimu wa arts chini ya 30, nyingine wanahitaji waalimu wa sayansi hasa physics, mathematics . chemistry biology pia uhaba umepungua saana. arts unakuta wilaya nyingi zinahitaji waalimu wa english na civics nini mfano wa wilaya kama 9 kutoka mikoa ile ambayo waalimu hawaipendi but still wana upungufu wa walimu 26-31 wa arts na 40-72 sayansi zaidi phy na maths. hapa napata picha fulan ya walioko vyuoni wajipange watoke na gpa kubwa kwan idadi ndogo hiyo miaka ijayo ushindani utakuwa mkubwa.
 
Hakuna Gazeti lililosema vile!!!Jamaa aliedit tu Naona ndo wale wakatishaji Tamaa!!!Waliopita waliajiriwa mwezi wa 4 huu ndo kwanza mwezi wa 1 unaishia Kueni Wavumilivu kila jambo linaenda kwa Mipango na Wakati!!
 
Si kweli kwakuwa ajira zenu zipo kwenye budget ya 2014/15 inayoishia 31 June. So ya JULY haiwahusu na post ni march.

Kila la heri kwenu.

maneno yanapunguza wasiwasi, asante kwa hilo
 
Toka zako hapa na uongo wako hizo statistics umezitoa wapi?

Yaani halmashauri nzima walimu 26-32?
tupe chanzo cha tarifa yako
 
Back
Top Bottom