Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na weledi wangu katika uchambuzi.
Karibu kwa Private msg.
Wenu JF junior member.
...manina!
Mi mzoefu humu, JF Senior Expert, with 3000+ posts, sina couple wangu mpaka dakika hii, afu dogo uje leo utangaze azimio?
Wallah sikubali!
hahahaa...!!basi mkaribishe kama vipi. halafu wewe Kipipi mbona ulinichomesha mahindi?
Sasa dogo anahusikaje hapo? Si ulizubaa mwenyewe?