Naomba ukaribisho JF, hasa toka kwa WADADA SINGLE!!!

Naomba ukaribisho JF, hasa toka kwa WADADA SINGLE!!!

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,599
Reaction score
2,161
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na weledi wangu katika uchambuzi.
Karibu kwa Private msg.
Wenu JF junior member.
 
Mi naona huyu katumwa plzzzzzzz ebu kajaribu na sura ya kitabu. Utakutana na wenzako lol!
 
hivi kwanini jf inavamiwa na wavulana mapepe kama leroy
 
Last edited by a moderator:
humu unaweza ishia pata sho**ga, maana unaweza fikiri m2 ni dem kwa avatar yake kumbe mabwepande.
 
Mnajifanya mnamtolea nje hapa wakati kule PM zinamiminika teh teh watu bwana
 
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na weledi wangu katika uchambuzi.
Karibu kwa Private msg.
Wenu JF junior member.

...manina!
Mi mzoefu humu, JF Senior Expert, with 3000+ posts, sina couple wangu mpaka dakika hii, afu dogo uje leo utangaze azimio?
Wallah sikubali!
 
...manina!
Mi mzoefu humu, JF Senior Expert, with 3000+ posts, sina couple wangu mpaka dakika hii, afu dogo uje leo utangaze azimio?
Wallah sikubali!

Sasa dogo anahusikaje hapo? Si ulizubaa mwenyewe?
 
ghaaaaa....!!..hata sijui huo ujunior umeutoa wap...ungepaswa kuwa "Member" kwa mwaka mmoja...N..Y..E..G..E mshindo noma!
 
na walio album wafanyeje?

Afu wewe umeenda bandika tetesi siasa ndo unakuja kujitambulisha huku?

Ndo maana unatembea natural movement.
 
Sasa dogo anahusikaje hapo? Si ulizubaa mwenyewe?

Unajua wakati mwingine upweke huleta hasira, nisamehe bure kwa hilo, so do mtoa mada.
Anyways, are you my destiny, Kipipi?
 
hii ni hoja au habari mchanganyiko? peleka habari zako jukwaa husika au rudi fb
 
Nenda Clouds Ukajitangaze au Unataka kuichujisha Jf ww
 
Back
Top Bottom