CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Acha woga,we niPM unipe na namba yako ya m pesa,chezeiya tajiri la kihaya wewe,niko kwenye mudi ya kuhonga leo.
hahaha kwani ni ajabu au kwakuwa ni mbabu..
yan tangu asubuhi mekupm namba yangu ila sijaona hiyo mpesa lolesh"!!!!!! mwanaume muongo wewe!!!!!
siyo muongo dili limegoma gafla.... muamala hausomeki