Rafkiangu(yeye hana access na jamii forum) mmoja alikuwa katika majibizano makali na mpenzi wake,mwanamke ni mnyaturu, yeye ni mhehe ss katika moja ya Meseji,akatumiwa message imeambatana na maneno haya
"..ruwe ojomroghwa usoyo ninavoona"
Hiyo sentensi ina maana gani?