Naomba unifafanulie kinyaturu hiki

Naomba unifafanulie kinyaturu hiki

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
824
Rafkiangu(yeye hana access na jamii forum) mmoja alikuwa katika majibizano makali na mpenzi wake,mwanamke ni mnyaturu, yeye ni mhehe ss katika moja ya Meseji,akatumiwa message imeambatana na maneno haya

"..ruwe ojomroghwa usoyo ninavoona"


Hiyo sentensi ina maana gani?
 
Yani wew uliambia kabisa unafaham kinyaturu........nimekupa sentence ndogo tu unaileta jf?
 
Back
Top Bottom