Kesho unamwambia nimeota nilikuwa nakufundisha kuogelea ila wote mm na ww tulikuwa uchiPoa mkuu
Wewe na huyo dem wako mpo kidato cha tatu mkondo gani ?Kama kichwa kinavyojieleza...
Kuna binti nimempigia simu tukawa tunaongea mambo ya kawaida...ile tunafikia mwisho wa maongezi Akanambia. Eti "ANAOMBA NIMUOTE"... na ikitokea nikamuota nimwambie nimemuota vipi
Sasa mimi sijaelewa kwanini amemalizia na neno hilo...
[emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134]Wewe na huyo dem wako mpo kidato cha tatu mkondo gani ?
Hivi hilo jina lina maana ganiWewe utakuwa ni zumbukuku
Hivi hilo jina lina maana gani