SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 911
- 751
Kama kichwa kinavyojieleza...
Kuna binti nimempigia simu tukawa tunaongea mambo ya kawaida...ile tunafikia mwisho wa maongezi Akanambia. Eti "ANAOMBA NIMUOTE"... na ikitokea nikamuota nimwambie nimemuota vipi
Sasa mimi sijaelewa kwanini amemalizia na neno hilo...