naomba usauri wako.....plz

naomba usauri wako.....plz

dantes steven

Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
11
Reaction score
1
naomba unishauri juu ya hili nimepangiwa UDOM software engineering lakini pia niliomba diploma ya electrical eng. DIT nimepata sijajua soko la ajira kwa software engineering liko vipi naomba ushauri wenu...
 
Ngoja wataalamu wa masuala ya uhandis waje!
 
mwana electricl by nw iko poa xana,ht hvyo thnk f ur future,thn maswala ya cmptr hayana soko na hayatakuja kuwa na soko,coz ni weng wanafanya hyo mambo,kuna mdogo flan kitaan kwe2,aliomb diplma ya geology n minerl explortn,thn at the same tym akachaguliwa udom information system,ameamua kwenda diploma,nilikua namshangaa ila nimemuelewa nw,xo make a wise choice and thnk of ur future and ur family status.
 
Mkuu ishu zote zinazohusiana na computer technlogy zina soko nje tu bongo utakaa sana..nenda kapige hiyo dip ya electrical ndo mpango mzima man
 
hapo soma electrical hyo compture hapo wengi na hata kupata job insumbua
 
electrical is the best...ila hme pakoje?? je kuna uwezekano wakuchange program pale udom...kwa taarifa fup ni kwamba ni ngum! ila hapa unazungumzia software engineering na sio comp engineering..japo bado ni mpya sana hapa bongo naima ni udom tu ndo wana offer hiyo prog market yake inaweza kuwa nzuri!!!!
KWA UPANDE WA PILI....
cheki sana wewe unapenda nini?? je mining unapenda?? software engineering unaiona vip?? SIKILIZA MOYO WAKO KAKA!!!
 
do what you like! ndugu then we dont give up on something because there are a lot of people in the field do the best and the system will choose you
 
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu nimewaelewa vizuri ntaenda dit sababu napenda umeme na baba amesema hata nikienda dit atanilipia thanx guyz
 
Back
Top Bottom