Naomba ushauri au msaada wa kisheria kuokoa hawa watoto

Naomba ushauri au msaada wa kisheria kuokoa hawa watoto

Mkuu nikupongeze sana kwa moyo huo wa huruma na upendo,jinsi unavyowapigania watoto wa dada yako na kuwa na uchungu nao hata kutafuta mbinu mbalimbali za kuwanusuru hao watoto,Mungu akubariki sana na kila la kheri.
Asante sana.
 
Ongea na baba yao awahamishie bweni (kama ana uwezo). Ikishindikana nenda kwa maafsa ustawi wa jamii muyajenge mtashauriana chakufanya bila kuathiri upande wowote
 
Ongea na baba yao awahamishie bweni (kama ana uwezo). Ikishindikana nenda kwa maafsa ustawi wa jamii muyajenge mtashauriana chakufanya bila kuathiri upande wowote
Asante
 
Onana na wakili kuna procedures za kufuata!

Hatuwezi kuwa tunatoa msaada mitandaoni na nyie mwende huko mjifanye wajuzi wa sheria.

Fika ofisi za wakili. Au tembelea Wakili house.
 
Vipi mkuu..ulifanikisha lipi kati ya uliyoshauriwa?
 
Back
Top Bottom