Mkuu nikupongeze sana kwa moyo huo wa huruma na upendo,jinsi unavyowapigania watoto wa dada yako na kuwa na uchungu nao hata kutafuta mbinu mbalimbali za kuwanusuru hao watoto,Mungu akubariki sana na kila la kheri.
Ongea na baba yao awahamishie bweni (kama ana uwezo). Ikishindikana nenda kwa maafsa ustawi wa jamii muyajenge mtashauriana chakufanya bila kuathiri upande wowote