Naomba ushauri: Biashara ya burcher na changamoto zake

Naomba ushauri: Biashara ya burcher na changamoto zake

MASOKO

Senior Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
121
Reaction score
17
habari!
nafikiria kuanza biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe naomba ushauri mwenye uzoefu na changamoto zake nimefanya research kidogo nimeona inalipa.
nawakilisha
 
Back
Top Bottom