SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Habari wana Jf,
Katika pita pita zangu za kutafuta biashara ya kufanya nilipita katika duka moja wanalouza bidhaa zilizotumika na kuona printer ndogo yenye uwezo wa kuscan, fax, kuprint picha na karatasi za kawaida.
Aina:-Hp All in one 7560. bei 500,000/=
Naomba mwenye kujua:
Kama biashara hii inalipa,
Na Kama inalipa je aina hii ya printer inafaa kwa biashara hiyo na bei yake kwa printer iliyotumika ni sahii.
Mimi nipo Arusha.
Natanguliza shukrani kwa msaada na mawazo yako.