mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tigorusha ya jero faida tsh 30 na ya buku faida ni tsh 60, almost ni vile vile tu
Sio kweli.Ninavyokumbuka kama nitakosea nitarekebishwa, niliambiwa ya 500 wapata 50 1000 wapata 100 2000 wapata 200 hivyo
Asante kwa kunirekebisha hii ni biashara ya kuwavuta tu wateja akija nunua vocha anywe soda au anunue na sigaraSio kweli.
Vocha ya 500 unapata 25.
Vocha ya 1000 unapata 50.
Mkuu tafadhali,naomba unisaidie kujua wapi nitapata vocha za Tigo na Airtel kwa bei hizo kwa Dar niko Gongo la Mboto ninakibanda cha Mpesa ninauza na vocha pia ila sijapata bado mahali pakuchukulia kwa bei hozi za jumla.Huwa nanunua kwa wanaotuletea vibandani na faida inakuwa inaminywa mno.Huu ndo ukwel mkuu me mwenyewe nafanya hii biashara
Njoo nikuunganishe na huduma ya mobistock, unauza vocha zote na vifurushi vyote online faida ni asilimia NNE kila vocha na kifurushi unachouza, njoo DM na namba yako ya simu nikuunge uanze kazi fasta.
Hii imekaaje hiiNjoo nikuunganishe na huduma ya mobistock, unauza vocha zote na vifurushi vyote online faida ni asilimia NNE kila vocha na kifurushi unachouza, njoo DM na namba yako ya simu nikuunge uanze kazi fasta.
Nitakupataje mkuu, kuhusuawasiliano?Njoo nikuunganishe na huduma ya mobistock, unauza vocha zote na vifurushi vyote online faida ni asilimia NNE kila vocha na kifurushi unachouza, njoo DM na namba yako ya simu nikuunge uanze kazi fasta.