Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

Anayejua namna faida ya vocha za simu za mkononi inavyoonekana, anifafanulie nataka nifanye hii biashara.
 
Faida yake ya kipuuzi sana 10000 faida unapata 500 jiulize kwa siku utauza ngapi? Lakini kama wateja ni wengi unaweza kupata kiasi fulani
 
Hivi nna wale wsnaouza magazeti vituo vya basi hivi wanaishi kwa biss JH ara hiyo siamini kabisa
 
Back
Top Bottom