Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

Habari wakuu!

Kwa kweli ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo, hali ya sasa ni tofauti na kale.

Maisha yamekuwa magumu sana mpk nashindwa kuelewa, nina mpango wa kuanzisha banda la kusajili na kuuza muda wa maongezi.

Ila nafikiria sana kuhusu faida na hassara ya biashara hii naomba kwa aliekuwa na uzoefu aniangaze kidogo please msaada wenu.

Pia kama mtu yupo Dar anapiga kazi anitafute inbox.
 
Ni nzuri kama utajituma.vocha ya 10000 faida ni 500au 600,laini pia inategemea na maeneo uliyopo.kimsingi inalipa ili juhudi zako ndio mtaji mkubwa
 
Hapo unaweza ku danload link za usajili na Kisha ukaomba token na ukatafuta laini na ukaanza kazi na utalipwa na kampuni kutokana na laini unazosajili kuhusu vocha jiunge na mobistock kwa Mtaji wa 11000 hapo utarusha vocha za mitandao YOTE na utauza na luku kuhusu kujiunga na mobistock Na hata kupata hizo link nicheck whatsapp 0763006602 au nipigie ni0629687224 nitakutumia link na nitakuunga na mobistock
 
Toa maelezo humu humu mkuu
Commission unaipataje
Namna ya kuongeza salio lako
 
Habari waungwana!!
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kozi ya human resource nilikuwa naomba ushauri wako katika suala la kuanzisha biashara.

Mimi nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza luku na vocha(tigo rusha)
1. Je mnanishaurije??
2. kama kuna mtu ana mawazo mazur ya biashara za kimtandao ama nyingine anijuze
 
Nitafute ntakutengenezea code za usajili mitandao yote na kukupa mwongozo wa namna ya kufanikiwa kwenye biashara hii 0624289660
 
Hapo unaweza ku danload link za usajili na Kisha ukaomba token na ukatafuta laini na ukaanza kazi na utalipwa na kampuni kutokana na laini unazosajili kuhusu vocha jiunge na mobistock kwa Mtaji wa 11000 hapo utarusha vocha za mitandao YOTE na utauza na luku kuhusu kujiunga na mobistock Na hata kupata hizo link nicheck whatsapp 0763006602 au nipigie ni0629687224 nitakutumia link na nitakuunga na mobistock
mobistock faida yao ni ndogo ila ndo hivyo
 
Ukiwekeza vizuri na ukawa serious kwenye kusajili laini inalipa, nimeifanya about 3 years commission mwisho wa mwezi nikikusanya kampuni zote napata 400,000-600,000 mara chache inafika 700,000

Hapo kumbuka kuna ile hela chash unayopata ukimuuzia mteja laini.

Mtaji ni smartphone, vocha za kuuzia wateja kama za elfu 50 au hata 20, kiti na meza ukikosa utasimama ufuate wateja door, to door,

Fanya huduma za uhakika usitapeli wateja, sajili kwa mujibu wa sheria za TCRA
Jitahidi usajili kampuni kuanzia 3 na kila kampuni ufikie angalau laini 100 kila mwezi hakika hutajuta.
 
Wakuu,

Nimeamua nianzishe kamtaji kakujiongezea kipato cha ziada maana mashaallah nina kibarua kinaniingizia elf kumi ndani ya saa nne, hivyo najikuta ikifka saa 4 asubuhi nimeshamaliza job nakuwa free. Nimewaza nianzishe haka kabiashara kakusajili line, vocha na vifurushi.

Naomba mwenye uzoefu anijuze inalipaje na changamoto zake ni zipi, ili nikitoka job nitulie barabarani na kamwamvuli kangu nikivuta uradi huku nikisubiri wateja mda huo nishaingiza elf kumi job

MASHAALLAH
 
Wasikukatishe tamaa...idea ipo vizuri maana ht mimi japo nna biashara lkn nimeongeza kuuza vocha na kusajili laini kama nyongeza ya mtaji

Ukikaa eneo zuri inalipa vbay mno...kwangu mimi mtaa mzima ndo nnayeuza vocha na vfurushi so kwa siku namaliza mpk elfu 40...(ambpo faida ya vocha za kurusha n 8%)

Upande wa kusajili wanalipa kulingana na idadi ya laini ulizosajili...na wanalipa kila mwsho wa mwezi
Makampuni yanayordhsha malipo ni tigo..voda...halotel na ttcl...airtel wanazngua...!!

Ukisajili laini nyng malipo hua makubwa...ka mwezi utaweza kuingza mpaka laki 3

Kkubwa n juhudi katika kazi
Na pia hongera kwa kuwaza hlo...utafanikiwa...!!

Nami nliwaza hilo na linanisaidia...hela hainipigi chenga
 
Asante mkuu umenitia moyo
 
HV unaweza niambie wakala wa tigo pesa anakula % ngapi kwa kila mwamala anao Fanya mteja iwe kutoa au kutuma hela!/kuweka naomba nisaidie kama unajua
 
Hiyo idea achana nayo ntakupa sababu:-

Embu fikiria, unamtumia mtu laki 3, anakatwa elfu 6 wewe unapewa elfu 1.

Jiulize hiyo risk ya kuweka laki 3 mfukoni apo awajapita 'panya road' na wahuni wengine kukupora.

Daily unalinda pesa yako ya mtaji labda laki 5. Hivi ni kwanini usiichukue ito pesa ukafanye biashara nyingine kuliko kusubiri kamisheni za shilingi mia mia. Na sasa hivi hakuna ata mzunguko imara.

Hatuzarau hizo mia mia za kamisheni, ila kutokuzizarau kwetu hakutufanyi matajiri kamwe.

Binafsi NACHUKIA BIASHARA ZA PESA NDOGO ila kama wewe unazipenda fanya. Miongoni mwake ni iyo idea yako.
 
HV unaweza niambie wakala wa tigo pesa anakula % ngapi kwa kila mwamala anao Fanya mteja iwe kutoa au kutuma hela!/kuweka naomba nisaidie kama unajua

akipiga muamala wenye kato la 5000, amini hachukui zaidi ya 1000. Sasa jiulize huo muamala wenye kato la 5000 ni shilingi ngapi.

Hii ni biashara kichaa tu!, ukifanya hii biashara kama wewe ni wakala mdogo mdogo, uza na bangi
 
Kila siku akawa na wastani wa wateja ishirini wanaotoa elfu tano kwa siku.. kwa kamisheni hiyo mpaka mwisho wa mwezi inakuwa ndefu

Mpe ushauri wa kufanya kazi nyingine sio unamwambia aache bila njia mbadala na wazo lake
 
Kwa biashara ya tigopesa atulie kwanza atafte mtaji....maana ukiw na mtaji uchwara utakuta hela zote zpo kwenye cm n mkonon huna ht 100....!!so kwa kuanzia tyu aanze na hyo ya vocha za kurusha plus n kusajili laini....then kidogo kidogo ukiona mtaji unatosha utasogea zaidi...!!

Kwa ishu ya kusajili hakikisha una smartphone yenye Android version kubwa na pia kamera iwe nzuri....
 
Back
Top Bottom