Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Habari wakuu!
Kwa kweli ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo, hali ya sasa ni tofauti na kale.
Maisha yamekuwa magumu sana mpk nashindwa kuelewa, nina mpango wa kuanzisha banda la kusajili na kuuza muda wa maongezi.
Ila nafikiria sana kuhusu faida na hassara ya biashara hii naomba kwa aliekuwa na uzoefu aniangaze kidogo please msaada wenu.
Pia kama mtu yupo Dar anapiga kazi anitafute inbox.