Naomba Ushauri: Biashara ya madini

mbongopopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2008
Posts
1,611
Reaction score
760
Hello wana JF,

nina jamaa yangu anataka kuingia katika biashara(dhahabu ya gold) hii ikoa ya Shinyanga/Tabora. Yeye amekulia na Uncle yake enzi hizo miaka ya 80s/90s. wakati anakua na mzee wake alikua na biashara hiyo. Kwa sasa mzee wake anafanya kukodishia watu maeneo na yeye ameona anataka kuingia akiwa na idea idea za mgodini inakuwaje.

Ila ana swali na nimemwambia namsaidia kumrushia humu kuomba ushauri au maelezo as yupo Dar. Anataka kupata leseni ya kiwanja/viwanja maeneo hayo ili aweze kufanya biashara na wenzake mmoja wawili watawekesha mtaji. Je nani anajua form zinapatikanaje kwa siku hizi katika ofisi za madini Shinyanga na Tabora? bei zake? na ukiwa mmiliki wa eneo je hati inakuwa na majina ya wawekezaji? Kuna form online mtu anaweza ona inahitaji nini na nini kujazwa na kusaini?

Mpango ni kupata eneo, kununua mashine za kuchimba na kusaga na kuchekesha.

Ushauri unaombwa kwa weye unayejua, samahani kama sijaeleweka ila naamini jamaa yangu ataweza kumudu kazi hii akipata mwanzo wa nini na nini kifanyike.

Kama unataka kuwasiliana nami kwa PM pia tutashukuru.

Shukurani
 
Eneo la madini kupata kirahisi ni ngumu sana.labda uongee na watu walioshika maeneo yenye madin hawajaiendeleza mmuingie shea km kuzamini.otherwise jitolee kuservey porini ugundue eneo lenye madini napia hapo unaweza kukutana na sekeseke la kijiji.
 
Eneo la madini kupata kirahisi ni ngumu sana.labda uongee na watu walioshika maeneo yenye madin hawajaiendeleza mmuingie shea km kuzamini.otherwise jitolee kuservey porini ugundue eneo lenye madini napia hapo unaweza kukutana na sekeseke la kijiji.
huko porini atatakiwa kuchimba heka 800 ndio ajue hayapo au yapo?
 
mkuu hebu onana na huyu best Steven Robert Masatu atakushauri vizuri sana na nduguyo atafanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…