Naomba ushauri chuo cha kusoma Civil Engenering

Naomba ushauri chuo cha kusoma Civil Engenering

Joined
Jun 17, 2013
Posts
74
Reaction score
8
Mimi nimemaliza f6 mwaka huu na nilipata physics D, Math D, na chemistry D. Nataka ushauri natakakufanya application ila nipenda kwenda kusoma Civil engineering. Je nichuo kipi kizuri naweza nikapata wakuu
 
Civil Eng wapo kibao kwenye sector za umeme, Civil is much better coz its too wide than electrical
 
Mi nakushauri nenda chuo chuo cha maoni rwegarulila utatoka soon
 
Electrical Eng ni bora kuliko Civil Eng...kwa mshahara na mazingira ya kazi kwa ujumla ipo vizuri.
 
Electrical Eng ni bora kuliko Civil Eng...kwa mshahara na mazingira ya kazi kwa ujumla ipo vizuri.

Utumwa wa mawazo unawaza kuajiliwa tu. Civil unaweza kujiajili na ukajitengenezea mazigira mazuri mwenyewe. We dogo unataka Chuo kizuri kwa flat D we apply tu utakakopata kasome but Chuo bora nim UD vingine vinafuata.
 
DDD mean una div 4 mkuu, ila jaribu kuaply degree huenda Mungu akakuona.
 
Jamani hapa kuna watu hawajielewi, na wengine huenda hata darasa la pili hawajafika anakuambia principal ni C. We umejulia wapi?. Wewe ndo unapanga iwe ngapi!, alaah!. Kama hujui kitu nibora ukanyamaza coz wewe totaku group kwenye kundi la wenda wazimu.
 
Back
Top Bottom