fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,221
Nunua hii
kudadeki hii machine mpk moyo umeniruka.......lovly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua hii
Nunua hii
Itakuwa ya misele town kama kwenda kanisani, sokoni, kwenye vyama n.k. pia safari ndefu za kifamilia. Familia ni ya watu 4 nayeye wa 5 ila muda mwingi wengi hawapo. Atakuwa na njia nyingine za kujiingizia kipato. Rav 4 old model ina Cc ngapi mkuu.
Haria tako la nyani au nadia..au rava 4 kill timeMama yangu ni mwalimu na anastaafu mwaka huu, na alikuwa anafikiria kununua gari. Kati ya haya lipi unaona linamfaa kwa budget isiyozidi 18M?. Mimi nilikuwa nafikiria haya, unaweza kuongeza unayodhani yanafaa zaidi.
Forester 2007 (najua 08 ndio bora zaidi lakini budget ndio tatizo)
Nissan xtrail.
Nissan xtrail.
Raum
[emoji124]
Unataka mfilisi mwalim mstaaf.hela yenyew ya ngama kiongozHaria tako la nyani au nadia..au rava 4 kill time
Nunueni gari ambayo hata imetokea mnasafiri inabeba zaidi ya 4 kuendelea au kama safari labda za kwenda shemu ya heshma mnatumia hiyo hiyo ma yenye uhakika wa safari hata kama barabara inakuwa mbovu
Akiamua analiingiza biasharani!Kama matumizi ni hayo, kununua Forester na Nissan xtrail ni kumtafutia pressure tu. Anunue noah itamfaa zaidi.
Akiamua analiingiza biasharani!
Well said injinia mwenye paso [emoji596][emoji594]Noah road tourer itamfaa,ni noah bora kuliko zote,ngum na haiharibik,ni zile noah za kwanza kwanza,asinunue noah tofaut na hyo ,nyingne ni mbovu...ni chache hata yard huwez ikuta inabid utafte sana sabab zinagombewa,bei ni 13-15mil..,..1790cc
Itamfaa sabab haitamfilisi,atabeba nyumba nzima had mbuz akitaka,sabab ni kubwa
Itakuwa ya misele town kama kwenda kanisani, sokoni, kwenye vyama n.k. pia safari ndefu za kifamilia. Familia ni ya watu 4 nayeye wa 5 ila muda mwingi wengi hawapo. Atakuwa na njia nyingine za kujiingizia kipato. Rav 4 old model ina Cc ngapi mkuu.