Naomba Ushauri: Gari gani linamfaa mstaafu.

Naona IST au Rav 4 kama wadau wengine walivyosema. Chenji awekeze kwenye mambo mengine.
 
Hapo kwenye VYAMA.... Mama ni KADA?
Itakuwa ya misele town kama kwenda kanisani, sokoni, kwenye vyama n.k. pia safari ndefu za kifamilia. Familia ni ya watu 4 nayeye wa 5 ila muda mwingi wengi hawapo. Atakuwa na njia nyingine za kujiingizia kipato. Rav 4 old model ina Cc ngapi mkuu.
 
Haria tako la nyani au nadia..au rava 4 kill time
Nunueni gari ambayo hata imetokea mnasafiri inabeba zaidi ya 4 kuendelea au kama safari labda za kwenda shemu ya heshma mnatumia hiyo hiyo ma yenye uhakika wa safari hata kama barabara inakuwa mbovu
 
Noah road tourer itamfaa,ni noah bora kuliko zote,ngum na haiharibik,ni zile noah za kwanza kwanza,asinunue noah tofaut na hyo ,nyingne ni mbovu...ni chache hata yard huwez ikuta inabid utafte sana sabab zinagombewa,bei ni 13-15mil..,..1790cc

Itamfaa sabab haitamfilisi,atabeba nyumba nzima had mbuz akitaka,sabab ni kubwa
 
Haria tako la nyani au nadia..au rava 4 kill time
Nunueni gari ambayo hata imetokea mnasafiri inabeba zaidi ya 4 kuendelea au kama safari labda za kwenda shemu ya heshma mnatumia hiyo hiyo ma yenye uhakika wa safari hata kama barabara inakuwa mbovu
Unataka mfilisi mwalim mstaaf.hela yenyew ya ngama kiongoz
 
Well said injinia mwenye paso [emoji596][emoji594]
 
Itakuwa ya misele town kama kwenda kanisani, sokoni, kwenye vyama n.k. pia safari ndefu za kifamilia. Familia ni ya watu 4 nayeye wa 5 ila muda mwingi wengi hawapo. Atakuwa na njia nyingine za kujiingizia kipato. Rav 4 old model ina Cc ngapi mkuu.

Mkuu kwa maelezo yako nafikiri Rav4 (first generation) au Noah Liteace zote ziwe 4WD zitafaa zaidi kwa bi mkubwa kwani kazi za shamba zinafaa, ukizipeleka kijiweni unapata wateja na pia ukitaka kuuza hupati taabu....gari hizi mbili engine zake zinafanana na kuingiliana .. 3S-FE SR40 au 50 na mara nyingi ukubwa wa CC ni 2000 (1998)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…